1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 20.04.2019

Yusra Buwayhid
20 Aprili 2019

Aliyekuwa rais wa Sudan Omar al-Bashir kufanyiwa uchunguzi baada ya kiasi kikubwa cha fedha kupatikana nyumbani kwake. Umoja wa Mataifa wasema watu 220 wameuawa katika mapigano Libya. Na, Ujerumani yafanya maandamano ya amani ya nchini kote wakati wa sikukuu ya pasaka.

https://p.dw.com/p/3H9ba