1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 23.02.2019

Yusra Buwayhid
23 Februari 2019

Kardinali ya Kanisa Katoliki akiri mafaili ya mpadri wanaoshukiwa kwa unyanyasaji wa ngono yaliharibiwa. Kura zaanza kuhesabiwa katika baadhi ya vutuo vya kupigia kura Nigeria. Na, upinzani Sudan kuendeleza maandamano licha ya kutangazwa hali ya hatari.

https://p.dw.com/p/3DyF9