1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 24.05.2020

Amina Mjahid
24 Mei 2020

Maelfu ya wakaazi wa mji wa Hong Kong waandamana kupinga mswada wa sheria kali juu ya usalama wa taifa uliopendekezwa na China, wafilipino waonywa dhidi ya matumizi ya sindano za dawa ya Fabunan inayodaiwa kutibu corona na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netayahu afika mahakamani kusikiliza kesi ya rushwa inayomkabili.

https://p.dw.com/p/3chbb