1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 29.11.2021

SK2 / S02S29 Novemba 2021

WHO limesema huenda aina mpya ya kirusi cha corona cha Omicron kikasambaa kote duniani/ Ulimwengu uko kwenye kutafakari namna ya kukabiliana na aina mpya ya kirusi cha Corona/ majadiliano ya Nyuklia,Vienna/ Rais wa Lebanon Michel Aoun ahudhuria hafla ya ufunguzi wa michuano ya soka nchini Qatar/ Tuzo la Ballon d’Or 2021.

https://p.dw.com/p/43dJd