1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili:15.01.2022

Tatu Karema
15 Januari 2022

Ethiopia yalitaka shirika la afya ulimwenguni WHO kumchunguza katibu wake mkuu Tedros Adhanom Ghebreyesus, waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock atarajiwa kusafiri kuelekea Ukraine na Urusi wiki ijayo na waasi wa Kihouthi wakataa ombi la Umoja wa Mataifa la kuachilia huru meli iliyokuwa na bendera ya Emirati

https://p.dw.com/p/45aNH