1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana-15.06.2019

Saumu Mwasimba
15 Juni 2019

Kiongozi wa jimbo la HongKong atangaza kusitisha muswaada wa sheria wa kuwapeleka wahalifu China Bara kufuatia kuzidi kwa maandamano,Rais wa Iran Hassan Rouhani asema atasitisha ushirikiano kuhusu utekelezaji wa makubaliano ya Nyuklia ikiwa nchi nyingine zilizosaini hazitoonesha ishara nzuri.

https://p.dw.com/p/3KW6H