1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 21.04.2019

Zainab Aziz
21 Aprili 2019

Watu zaidi ya 150 wauawa kutokana na miripuko ya mabomu nchini Sri Lanka. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis aadhimisha Jumapili ya Pasaka wakati damu ikiendela kumwagika nchini Sri Lanka, Uwanja wa ndege wa Tripoli wafunguliwa tena baada ya kufungwa kwa muda kutokana na mashambulio ya anga katika vitongoji vya mji wa Tripoli.

https://p.dw.com/p/3HAvC