1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 28.03.2020

SK2 / S02S28 Machi 2020

Wagonjwa wa COVID-19 kutoka Italia wapelekwa Ujerumani kwa matibabu. Israel yalishambulia kundi la Hamas, katika ukanda wa Gaza. Na Ufansa na washirika wake kutoka nchi za Ulaya na Afrika waunda kikosi kipya cha kupambana na ugaidi eneo la Sahel.

https://p.dw.com/p/3aAHV