Mawaziri 10 wa Serikali ya Kongo ziarani Kivu ya Kaskazini
22 Mei 2007Matangazo
Ziara hiyo inalenga kutafuta suluhu ya matatizo ya eneo hilo la Kaskazini likiwemo waasi wa Interahamwe wanaojificha katika msitu wa huku kukiwa na wasiwasi kuwa Laurent Nkunda kiongozi wa waasi huenda akasababisha mashambulizi kwa madai kuwa serikali ya Kinshasa haijatimiza makubaliano ya Kigali.
Mwandishi wetu John Kanyunyu akiwa Goma anaarifu zaidi.