1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mawaziri wa Usafiri wa CEEAC wakutana mjini Kinshasa,DRC

16 Septemba 2008

Mawaziri wa Usafiri wa nchi 11 za jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya Africa ya kati CEEAC wamekutana mjini Kinshasa.

https://p.dw.com/p/FJGI
Mji wa Kinshasa palipofanyika mkutano wa CEEACPicha: Alexander Göbel

Kiini cha mkutano huo ni kutathmini usalama wa anga na vilevile kurahisisha maingiliano ya kimkoa kupitia biashara huru.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.