1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbinu ya kutokomeza uharamia yatafutwa

12 Julai 2018

Washiriki kutoka mataifa 68 wanakutana Kenya kujadili mikakati ya kupambana na uharamia katika Pembe ya Afrika. Wataalamu wanasema mashambulizi ya maharamia katika eneo hilo bado ni tishio kubwa.

https://p.dw.com/p/31LjN
Maharamia Somalia
Picha: picture alliance/AP Photo/F. Abdi Warsameh

J3: 12.07.2018 African nations gather to confront piracy off Somalia coast - MP3-Stereo