1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge: Uchunguzi mpya wa ICC ghasia za Sudan

Saleh Mwanamilongo
28 Julai 2023

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inasema inaanzisha uchunguzi mpya wa matukio ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinaadamu yanayotokana na ghasia zinazoendelea nchini Sudan. Saleh Mwanamilongo anasimulia kwenye Mbiu ya Mnyonge.

https://p.dw.com/p/4UUCC