1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchango wa wanawake katika sekta ya filamu

Veronica Natalis Mataba6 Aprili 2018

Majukumu ya uandaaji wa filamu yamegawanyika katika makundi tofauti. Lipo kundi la wacheza filamu, waandaaji na waongozaji. Leo tunatazama mchango wa wanawake ambao ni waandaaji na waongozaji filamu katika nchi za Afrika Mashariki na msimulizi ni Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/2vb8U