1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchungaji Mtikila yumo tena kwenye urais

11 Oktoba 2010

Wakati kampeni za uchaguzi mkuu ujao nchini Tanzania zikizidi kupamba moto, baadhi ya vyama vya upinzani vimekuwa vikitoa lawama za aina mbalimbali, nyingi ya hizo zikielekezwa zaidi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

https://p.dw.com/p/P23V

Kwa upande wake, chama cha Democratic-DP kinasema uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki. Mwenzangu Grace Kabogo alizungumza na mwenyekiti wa chama hicho cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila na kwanza alikuwa na haya ya kueleza kuhusu harakati za kampeni na uchaguzi kwa ujumla.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Mtikila

Mhariri: Miraji Othman