1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mexico yapingana na Donald Trump

Yusra Buwayhid
27 Januari 2017

Rais wa Mexico afutilia mbali ziara yake ya nchini Marekani baada ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump kutia saini agizo la kuataka kujenga ukuta katika mpaka wa nchi hizo mbili. Rais mpya wa Gambia Adama Barrow awasili nchini humo akitokea Senegal alipokimbilia pale Yahya Jammeh alipogoma kumkabidhi madaraka. Na kundi la kigaidi la al-Shabaab ladai kuwaua wanajeshi 57 wa Kenya.

https://p.dw.com/p/2WWgT