1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo wa madereva Busia na Malaba unavyoathiri usafiri

Kwena (HON)25 Mei 2020

Shughuli za kibiashara katika maeneo ya mpakani mwa Kenya na Uganda ya Busia na Malaba, zinaendelea kutatizwa baada ya madereva wa malori ya mizigo kufunga barabara wakilalamikia kuhangaishwa na maafisa wa Uganda. Michael Kwena ana maelezo kamili kuhusu hali hiyo.

https://p.dw.com/p/3cj4r