1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano kuhusu Somalia wafanyika Kampala

2 Juni 2011

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda aitaka Somalia itangaze tarehe ya uchaguzi.

https://p.dw.com/p/11T9W
Rais wa Uganda, Yoweri MuseveniPicha: AP

Mkutano wa siku mbili unaojadili matukio nchini Somalia umeanza hii leo mjini Kampala. Mkutano huu unafanyika wakati muhula wa utawala wa serikali ya mpito ya Sheikh Sharif Sheikh Ahmed ukitarajiwa kufikia kikomo mwezi wa nane mwaka huu. Kikao cha leo kilichofunguliwa na rais wa Uganda Yoweri Museveni kiliisisitizia Somalia kuamua lini uchaguzi utakapofanyika.

Mwandishi: Leylah Ndinda

Mhariri: Josephat Charo