1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Amani na Usalama mjini Kampala,Uganda

5 Oktoba 2009

<p>Rais Yoweri Museveni amesema tishio kubwa kwa amani na usalama kwenye kanda ya Afrika Mashariki ni nchi za nje.

https://p.dw.com/p/JyRR
Rais Yoweri Museveni wa UgandaPicha: AP
Akizungumza wakati wa ufunguzi, wa  mkutano wa amani na usalama mjini Kampala, Rais Museveni aliwatolea wito waafrika waamke na wapiganie maslahi yao na si kunyamaza kimya kwani kimya chao ni ishara ya uoga na hakuna amani inayoweza kupatikana kama upande mmoja unanung'unika kimya kimya.

Mwandishi wetu kutoka Kampala Leyla Ndinda, alihudhuria mkutano huo na ametuandalia taarifa ifuatayo.

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mpitiaji :Munira Muhammad