1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa kiuchumi wa Afrika,Carribean na Pacific mjini Bonn

14 Machi 2007

Mawaziri wa misaada ya maendeleo wa Umoja wa Ulaya leo wanaendelea na majadiliano na wenzao kutoka mataifa ya Afrika,Carribean na Pacific kuhusu ushirikiano wa kiuchumi .

https://p.dw.com/p/CB5H
Mkutano huo umefanyika huko Petersberg karibu na jiji la Bonn.
Saumu Mwasimba aliungana kwa njia ya simu na kumuuliza Othman Miraji kilichojadiliwa katika mkutano huko.