1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa kutathmini mizozo katika maziwa makuu ulioandaliwa na wakfu wa Konrad Adenauer na Hans Seidel ya hapa Ujerumani

6 Oktoba 2009

<p>Katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels, unafanyika mkutano wa kutathimini mizozo katika eneo la maziwa makuu ulioandaliwa na wakfu mbili za Ujerumani KONRAD ADENAUER na HANS SEIDEL.

https://p.dw.com/p/K0GB
Zingatio ni ukiukaji wa haki za binaadamu kuanzia mauaji, ubakaji na kuingizwa watoto katika mapigano. Athari za mizozo ni pamoja na magonjwa , utapia mlo na  watu kuwa wakimbizi. Miongoni mwa washiriki katika mkutano huo, Waziri mkuu  wa zamani wa Tanzania Frederick Sumaye ambaye alizungumza na Jane Nyingi kwa njia ya simu na kwanza anaelezea mchango wake katika mkutano huo ?