1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa sera ya ushirikiano wa kimaendeleo waanza Bonn

27 Agosti 2009

Hii leo hapa mjini Bonn Ujerumani, umeanza mkutano wa pili wa siku mbili juu ya sera ya ushirikiano wa maendeleo. Mkutano huo umefungliwa na rais wa Ujerumani Horst Köhler.

https://p.dw.com/p/JJck
Rais wa Ujerumani Horst KoehlerPicha: AP

Sikiliza mahojiano kati ya Josephat Charo na Othman Miraji, mhariri katika idara ya Kiswahili ya Deutsche Welle, aliyehudhuria mkutano huo.