1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Umoja wa Afrika AU kuhusu mgogoro wa Darfur

15 Agosti 2007

Baraza la amani na usalama la Umoja wa Afrika, AU, limefanya leo kikao mjini Addisabeba,Ethiopia, kutafakari hali ya mgogoro wa jimbo la Darfur,Magharibi ya Sudan.

https://p.dw.com/p/CH9b
Baraza la Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Abeba
Baraza la Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis AbebaPicha: picture-alliance/ dpa

Balozi Dr. Salim Ahmed Salim wa Tanzania alialikwa kuwapa taarifa wajumbe wa baraza hilo kufuatia mkutano wa vikundi vinavopingana pamoja na serikali ya Sudan ambao ulifanyika wiki iliopita huko Arusha,Tanzania.

Kutoka makao makuu ya AU mjini Addisabeba, mwandishi wetu Anaclet Rwegayura anaripoti zaidi.