1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MLC yapinga hukumu dhidi ya Bemba

Saleh Mwanamilongo21 Juni 2016

Chama cha MLC cha makamu wa rais wa zamani wa DRC, Jean-Pierre Bemba, kimelalamikia hukumu ya miaka 18 iliotolewa na mahakama ya ICC dhidi ya kiongozi huyo. MLC imetangaza kukata rufaa juu ya uamzi huo wa ICC.

https://p.dw.com/p/1JAlr