1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MS+ Kisuaheli Sendung 10:00 UTC - MP3-Stereo

SK2 / S02S12 Septemba 2019

Familia ya rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe, imesema mwili wa kiongozi huyo utazikwa mapema wiki ijayo kijijini kwake//Gavana wa kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya Anne Waiguru amewataja wakazi wa eneo la mlima Kenya kuwa tayari kumuunga mkono mgombea wa urais kutokea kabila jengine

https://p.dw.com/p/3PT7z