1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtandao unaookoa vyakula vinavyotupwa Ujerumani

30 Januari 2020

Tatuzo la utupwaji wa vyakula limekithiri katika nchi nyingi za Magharibi. Mwandishi wetu wa Berlin Harrison Mwilima alitembelea mtandao ambao unaokoa vyakula hivyo vinavyopaswa kutupwa. Hii hapa video yake.

https://p.dw.com/p/3X3mR