1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtandao wa dunia nzima wa Web ''www'' watimiza miaka 30

Sylvia Mwehozi
20 Machi 2019

Mnamo mwezi Machi mwaka 1989, Tim Berners-Lee alianzisha mtandao wa dunia nzima yani world wide web kifupi ikitumika www. Mwaka huu wa 2019 mtandao huo umetimiza miaka 30. Tunatizama tangu kuanzishwa kwake na hadi hivi sasa, je umeleta mabadiliko gani katika maisha yetu? Kufahamu mengi ungana na Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/3FLOr