1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mto Ruaha hatarini kukauka

14 Septemba 2011

Mto Ruaha Mkuu nchini Tanzania uko hatarini kupotea kutokana na kukauka mara kwa mara na hivyo kuzusha hali ya wasiwasi kwa wakaazi wa Kusini Magharibi ambako mto huo unapitia na kutumika na pia kuongeza tatizo la umeme.

https://p.dw.com/p/RlaP
Nyumbu kwenye Mto Ruaha Mkuu
Nyumbu kwenye Mto Ruaha MkuuPicha: picture alliance/dpa

Katika makala hii ya Mtu na Mazingira, Sudi Mnete anatazama uhai wa Mto Ruaha Mkuu katika wakati ambapo maeneo kadhaa ya Afrika ya Mashariki yakikabiliwa na ukosefu wa mvua na ukame.

Mtayarishaji: Sudi Mnete
Mhariri: Othman Miraji