1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, kumekucha Sudan?

Josephat Charo
21 Aprili 2019

Mzunguko wa utawala wa kijeshi Sudan lazima uvunjwe kuliwezsha taifa hilo kupiga hatua mbele kimaendeleo. Jitihada zote zinatakiwa kuelekezwa katika kuhakikisha mchakato wa kukabidhi madaraka unafanyika kwa njia ya demokrasia na uwajumuishe Wasudan wote.

https://p.dw.com/p/3HAVX
Sudan Demonstrationen
Maelfu ya Wasudan wakiandamana nje ya makao makuu ya jeshi mjini Khartoum Aprili 11, 2019Picha: picture-alliance/AA/O. Erdem