1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwamko wa Wanablogu wa Kenya

11 Mei 2016

Kenya taifa lenye zaidi wa watu milioni 40 takribani nusu ya idadi hiyo ya watu inanufaika na teknolojia ya mtandao wa intaneti. Pamoja na changamoto wanazokabiliana nazo wanablogu wa Kenya ni sehemu ya wenye kutoa habari, kuburudisha na kuelimisha umma.

https://p.dw.com/p/1Iljm