1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwandishi wa habari apambana kufichua ukweli

Mohammed Khelef
23 Agosti 2017

Barani Afrika, waandishi wa habari za uchunguzi wanafanya kazi kwenye mazingira yaliyotayarishwa kuwanyamazisha, lakini John-Allan Namu anapambana na mfumo huo nchini Kenya, moja ya mataifa yanayosifika kwa kiwango kikubwa kabisa cha ufisadi duniani.

https://p.dw.com/p/2ihd9