1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwangaza wa Ulaya: Uingereza yasimama njiapanda kuelekea Brexit

Daniel Gakuba
28 Novemba 2018

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amepata makubaliano na Umoja wa Ulaya kuhusu Masharti ya nchi yake kuondoka katika umoja huo, maarufu kama Brexit ifikapo Machi 29, 2019. Lakini makubaliano hayo yanapaswa kuidhinishwa na bunge la Uingereza, huku dalili zote zikionyesha kuwa bunge hilo litayakataa. Nini kitafuata baada ya hapo, wachambuzi wanasema hakuna ajuaye. Sikiliza makala hii kujua zaidi.

https://p.dw.com/p/394g2