1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzee Njama agawa Mali yake ili wazee wapate hifadhi

Amina Mjahid
24 Novemba 2022

Mzee Njama ni mzee wa miaka 100 anayeishi Nyeri, Kenya. Ametoa shamba kubwa kwa serikali ili wazee wajengewe nyumba za kuwatunza. #kurunzi24.11.2022

https://p.dw.com/p/4K0mj