1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fursa za ajira kwa vijana katika shughuli za harusi

Sylvia Mwehozi
1 Machi 2021

Katika kipindi hiki cha vijana mchaka mchaka Sylvia mwehozi anaangalia ajira tofauti kwa vijana zinazotokana na katika shughuli za harusi barani Afrika. Ni kwa kiasi gani kazi hizo zimeleta tofauti katika maisha ya vijana? Sylvia Mwehozi anakueleza zaidi. 

https://p.dw.com/p/3q3iq