1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni haki kwa Donald Trump kuzuia Waislamu?

Mohamed Karama Dahman1 Februari 2017

Rais Donald Trump wa Marekani amesaini amri ya rais ya kusitisha kupokea wakimbizi nchini Marekani na kuwapiga marufuku raia kutoka nchi saba. Ni uamuzi unaotajwa kukiuka sheria ya kimataifa na hata katiba ya Marekani.

https://p.dw.com/p/2WlpH