1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni vipi mitaa ya Ujerumani ilivyopata majina yake?

6 Mei 2020

Kila mtaa nchini Ujerumani una jina lake na kwa kawaida majina hayo huandikwa katika vibao vilivyowekwa katika kila barabara. Lakini unajua ni kanuni gani zinazotumika kuipa mitaa majina hayo? Basi yasikilize makala haya ya Sura ya Ujerumani yaliyoandaliwa na Elizabeth Shoo kufahamu zaidi.

https://p.dw.com/p/3brK5