1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nusu ya watu ulimwenguni wanatumia intaneti

Sylvia Mwehozi/M M T18 Desemba 2018

Mwaka huu wa 2018 unatajwa kwamba umekuwa na mabadiliko makubwa katika matumizi ya intaneti. Zaidi ya nusu ya watu duniani kote watakuwa na uwezo wa kutumia intaneti ifikapo mwishoni mwa mwaka huu

https://p.dw.com/p/3AKBw