1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Oba Ewuare: Mfalme aliyeleta shaba mji wa Benin

23 Desemba 2020

Hata baada ya karne tano kupita tangu utawaa wake, Oba Ewuare bado anakumbukwa Benin. Anakumbukwa kwa kuupanua ufalme wa Benin, kuendeleza sanaa na kuimarisha uchongaji wa vichwa vya shaba ambavyo hii leo ni maarufu kote ulimenguni.

https://p.dw.com/p/3n7uM