1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la 'anaemia' kwa wakaazi wa Igunga Tanzania

Hawa Bihoga24 Septemba 2021

Makala ya Afya Yako safari hii inaangazia tatizo la upungufu wa damu kwa lugha ya kitaalam ni 'Anaemia'. Je chanzo chake ni gani? Unapaswa kufanya nini kujikinga au kukabili tatizo hilo? Je ugonjwa huo hutibiwa na kupona? Ungana na Hawa Bihoga kwa maelezo zaidi.

https://p.dw.com/p/40mrU