1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

OPCW yakutana kuhusu shambulizi la sumu Douma

Iddi Ssessanga
16 Aprili 2018

Shirika la kudhibiti silaha za sumu duniani OPCW linakutana kwa dharura mjini The Hague, kujadili shambulio linalodaiwa kuwa la sumu katika mji wa Douma nchini Syria, ambalo limezidisha mvutano kati ya Urusi na mataifa ya Magharibi.

https://p.dw.com/p/2w7N6