1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Panya Road" waibua mjadala mzito Tanzania

Njogopa George19 Septemba 2022

Kuibuka tena kwa kundi la kihalifu maarufu kama Panya Road nchini Tanzania kumeibua mjadala mkubwa kuhusu hali ya usalama wa wananchi na mali zao, huku jeshi la polisi likitangaza kuanzisha operesheni maalumu dhidi ya kundi hilo. Mwenzetu Goeroge Njogopa kutoka jijini Dar es Salaam alituandalia ripoti hii.

https://p.dw.com/p/4H3B8