1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papa Francis aushutumu unyanyasaji wa wanawake kutokana na ukahaba

John Juma
20 Machi 2018

Kiongozi mkuu wa kanisa la Katoliki duniani Papa Francis ameutaja unyanyasaji wa wanawake kwa ajili ya ukahaba kuwa uhalifu wa kibinadamu. Kwa mengi zaidi, tazama vidio hii. Papo kwa Papo

https://p.dw.com/p/2udi1