1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa Ufaransa akimbia marathon kwenye roshani

25 Machi 2020

Raia mmoja wa Ufaransa amekamilisha mbio za masafa marefu za marathon akiwa kwenye roshani yake. Katika mataifa tofauti barani Ulaya ambako maambukizi ya virusi vya corona yamepiga vibaya, na watu kulazimishwa kusalia majumbani mwao, kwa kiasi wawezavyo wanaendelea kufanya mazoezi.

https://p.dw.com/p/3a1ae