1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kabila awasili Goma,Mashariki mwa Kongo

Samia Othman10 Aprili 2012

Hali ya usalama ikiwa mbovu katika mikoa ya Kivu ya kaskazini pamoja na Kivu ya Kusini, rais Joseph Kabila aliwasili jana mjini Goma,mji mkuu wa mkoa wa Kivu ya kaskazini.

https://p.dw.com/p/14aCy
Rais Joseph Kabila wa DRC
Rais Joseph Kabila wa DRCPicha: AP

Akiwa hajatamka lolote kuhusu ziara yake,inadhaniwa kua, ziara hiyo inalenga kufuatilia kwa karibu sana hali ya mambo.
Na wakati huohuo,naye muwakilishi maalumu wa katibu mkuu wa Umoja wa mataifa katika DRC amewasili Goma kwa lengo hilo tu.
John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi