1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda na Uganda wasaini makubaliano ya kumaliza mvutano

Lubega Emmanuel22 Agosti 2019

Makubaliano ya kuondoa uhasama kati ya Rwanda na Uganda yaliyosainiwa na marais wa nchi hizo mbili yameleta afueni na furaha kubwa kwa raia wa nchi hizo, hususan wafanyabiashara.

https://p.dw.com/p/3OJm2