Sauti ya Kizazi Kipya na Shangazi Masika19.05.201619 Mei 2016Vijana wa Kilifi katika mwambao wa pwani nchini Kenya wameamua kuwa wabunifu kuulinda utamaduni wa kabila la Wagiryama.https://p.dw.com/p/1IqjbConstance Constance Masika Beja "Shangazi Masika" Kiongozi wa kundi la Sauti ya Kizazi Kipya, Kilifi, KenyaPicha: DW/E. PondaMatangazo Jiunge na Eric Ponda ujifunze mengi zaidi kuhusu vijana hawa.