1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Angola inavyokabiliana na muziki wenye ukosoaji

Lilian Mtono
15 Agosti 2017

Mwanamuziki wa Angola MCK mara zote hujikuta akikwaruzana na serikali. Si kwa sababu ni muhuni, bali ni kutokana na mashairi yake kuikosoa serikali. Eduardo dos Santos ametawala Angola tangu mwaka 1979 na yoyote anayempinga huingia matatani.

https://p.dw.com/p/2iHIT