1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shujaa anayepambana kutokomeza ukeketaji Kenya

Sylvia Mwehozi
13 Septemba 2018

Tamaduni ya ukeketaji imetajwa kukithri katika mataifa ya Afrika, Asia na Mashariki ya Kati. Shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia watoto, UNICEF, ilikadiria kuwa wanawake milioni mia mbili wanaoishi leo katika mataifa hayo walikeketwa mwaka 2016. Ungana naye Sophia Chinyezi katika makala ya wanawake na maendeleo.

https://p.dw.com/p/34nUH