1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sikiliza mapokeo na changamoto ya sarafu mpya "Worldcoin cryptocurrency"

Sylvia Mwehozi/ MMT14 Agosti 2023

Mamilioni ya watu kote ulimwenguni wamechangamkia sarafu mpya ya mtandaoni ya WorldCoin ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na kufanya usajili kwa mboni za macho ili kuthibitiisha utambulisho wa mtumiaji. Zaidi ungana na Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/4V979