1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Maji Duniani

Bruce Amani
22 Machi 2018

Ulimwengu unaadhimisha siku ya maji chini ya kauli mbiu ya maliasili kuwa suluhu kwa changamoto zinazotukabili katika karne ya 21. Nishati itokanayo na jua imebainika kuwa yenye gharama nafuu sana na mashirika yanayowahudumia wakimbizi walio katika kambi kaskazini mwa Uganda ambayo yameokoa kiasi kikubwa cha fedha

https://p.dw.com/p/2umQP