1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unapanga kuitumiaje siku ya Valentine

Saumu Mwasimba
8 Februari 2019

Mapenzi hayana fundi wala mjuzi ndivyo anavyosema mtaalamu wa mahusiano Mwanahamisi Singano katika kipindi cha Karibuni anaposimulia mengi kuhusu mahusiano na haswa umuhimu wa siku ya Valentine katika kuimarisha au kuvunja mahusiano hasa ya mtu na mpenzi wake au mume na mkewe.Je hapo ulipo siku ya wapendanao ina nafasi gani kwako?

https://p.dw.com/p/3CwOV